ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 7, 2013

ROBIN VAN PERSIE APOSTI PICHA ALIYEPIGA NA HASHEEM THABEET KWENYE INSTAGRAM YAKE

Mtundika mabao wa Manchester United Ribin van Persie hivi karibui alitundika picha kwenye ukurasa wake wa Instagram picha aliyepiga na Star wetu Hasheem Thabit anayekipiga NBA nchini Marekani.

Baada ya kuipost picha hiyo Robin Van Persie aliandika maneno haya " was nice to meet big man Hasheem Thabeet" maneno ambayo yanaonyesha furaha ya van Persie kukutana na kupiga picha na mtu mrefu kuliko wote wachezaji wa NBA wanaocheza kikapu sasa hivi.

1 comment:

Anonymous said...

Hii picha haitusaidii chochote kama waTZ zaidi ni kujidhalilisha tu halafu na wewe LUKE usiwe unaweka vitu vya kipuuzi kama hivi maana sasa itakuwa ni Blog ya mipasho/udaku... Fanya kama ulivyokuwa unafanya zamani na ukakubalika lakini kama utaendelea hivi basi tutakusahau kwa kutofika jamvini na kuona madudu.
Nataraji umenielewa kwa nia nzuri tu
Kila la kheri
MDAU