Friday, October 11, 2013

TAARIFA KUTOKA BAKWATA


1 comment:

  1. Hivi BAKWATA mko serious na shughuli au mnafanya masikhara?
    Hii so called press release haionyeshi ni official.
    Haina reference number,
    Haina Tarehe
    Haina Jina la aliyetia sahihi
    Haina Cheo cha aliyetia sahihi

    Na cha mwisho na muhimu zaidi, ni kwa mantiki gani mmefikia uamuzi wa Eid al Adha iko tarehe 16, wakati siku ya Arafat ni tar 14???
    Au Tanzania Iko Arafat yake tofauti?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake