Mheshimiwa Balozi Bi Liberata Mulamula akiteta Jambo na Alex Kassuwi (Mume wa Marehemu)Wakati alipojumuika na Watanzania wengine kutoa mkono wa pole.
Augustino Malinda akiongea na waombolezaji Nyumbani kwa Alex Kassuwi
Watanzania walijitokeza kwa wingi jana kujumuika na Familia ya Alex Kassuwi katika kuomboleza kifo cha Mkewe Martha Shani kilicho tokeaJjumamosi tarehe 19 Frederick Maryland.
Mheshimiwa balozi alinena machache kwa niaba ya Ubalozi na pia Kama Mwanajumuiya aishie Washington DMV na kuwahasa Watanzania waonyeshe ushirikiano wao kwa mwanajumuiya mwenzao katika wakati huu mgumu na pia kuahidi kuwa bega kwa bega na Wanakamati katika kufanikisha Safari ya marehemu kwenda Tanzania kwa ajiri ya Mazishi.
1 comment:
inasikitisha sana,Mungu awape faraja ya moyo kwani ndiye muweza .
Post a Comment