Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau.
Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE kwa kuhudhuria na kufanya udadisi wa kina kwa familia, viongozi wa serikali na wanandoa wenyewe wachanga.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake