ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 25, 2013

Diamond atangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye vigezo hivi.


Yale maneno kwamba vijana wawezeshwe kujiajili ili waajili vijana wenzao ndio yanaendelea kutimia kwa Diamond.
Diamond ameshaajili madancer,wapiga picha na vijana wengine lakini hii ni nafasi nyingine ya kazi ambayo ameitangaza na kama unadhani vigezo unavyo usisite kukamata hii fursa mtu wangu.

No comments: