
Jimmy Kilauri (wapili toka kulia) akiwa na wadau wengine na marafiki wa karibu Mtungi Bar iliyopo Makongo jijini Dar es Salaam sasa hivi wakisherehekea siku ya kuzaliwa jimy mika mingapi iliyopita siku kama ya leo.
Jimmy Kilauri katika picha ya pamoja na wadau



1 comment:
Wish you all the best jimmy u r the man of people
Post a Comment