Saturday, November 16, 2013

KASHEREHE KA SIKU YA KUZALIWA YA JIMMY KILAURI KAKIENDELEA MAKONGO, JIJINI DAR SASA HIVI


 Jimmy Kilauri (wapili toka kulia) akiwa na wadau wengine na marafiki wa karibu Mtungi Bar iliyopo Makongo jijini Dar es Salaam sasa hivi wakisherehekea siku ya kuzaliwa jimy mika mingapi iliyopita siku kama ya leo.
 Jimmy Kilauri katika picha ya pamoja na wadau
Kushoto ni Eng. Mwaka na Mr. Njau katika picha ya pamoja na Jimmy
Birthday Boy akipata ile roho inapenda muziki wa bakulutu kwenye siku hii maalum kwake

1 comment:

  1. Wish you all the best jimmy u r the man of people

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake