Saturday, November 16, 2013

TANGAZO LA UPUNGUFU WA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA


Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Badra Masoud akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kuwepo kwa upungufu wa umeme kwenye gridi ya Taifa kuanzia tarehe 16 hadi 26 November, 2013 kutokana na upungufu wa gesi kutoka katika Kisiwa cha Songosongo kilichopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi Unaosababishwa na Matengenezo ya Kiufundi kwenye visima vya gesi unaofanywa na Kampuni ya Pan Afrika ili kuboresha upatikanaji wa gesi ya kutosha kwenye visima hivyo. Picha na GPL

1 comment:

  1. Mmmezidi na matatizo ya umeme na mnadhiriki kutudangany kila mwaka acheni siasa za uongo Tanzania sio ya kukosa umeme miaka hii ya technolojia na mito tunayo kibao. Hii ni aibu kwa taifa bado viongozi wantumia fedha bila mpango na safari kila siku,

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake