ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 16, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA DKT.SENGONDO MVUNGI JIJINI DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na kutoa salamu za rambi rambi, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo
 Waziri Mkuu wa Jmhuri ya muungano wa Tanzania,  Mhe. Mzengo Pinda akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
 Mwili wa marehemu Dkt Mvungi ukiletwa kwenye Ibada ya kumuaga iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
 Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akizungumza na kutoa salamu za rambi rambi, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Rais Mtaafu awamu ya pili Mhe. Benjamin Mkapa katika picha wakati wa sakramenti.
 Ibada ilkiendelea wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif Hamad akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Katika na Sheria,Mh. Angella Kairuki akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Augustine Ramadhan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha akiambatana na Mh. Hamad Rashid wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mh. James Mbatia na Mkewe wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mh. Stephen Wassira akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na Madini,Mh. Prof. Sospeter Muhongo akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Uchukuzi,Mh. Mwakyembe.
Inspekta Jenelari wa Polisi,Said Mwema.
Kamanda Kova.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenela Mukangara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Mwenyekiti wa Chama cha CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Familia ya Marehemu.
Picha kwa hisani ya OMR na Michuzi Blog



No comments: