Katika Live Talk VOA Ijumaa Novemba 15, 2013 wamezungumzia hadhi ya muziki wa Bongo Flava unakoelekea na Changamoto zake ambapo mgeni katika kipindi hicho alikuwa mwanamuziki wa Bongo Flava Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa a.k.a Binamu.Kusikiliza ungana na VOA kwa Kumsikiliza hapo chini

No comments:
Post a Comment