ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 15, 2013

MUME MTAMU NA BOYFRIEND MTAMU HABARI NDIYO HII

Maria akiwa na mume Paul (kushoto) na boyfriend Peter (kulia) mwanamke huyu Maria Butzik (33) mwenye watoto wawili ameuita uamuzi huo kuwa ni 'perfect solution' ya tatizo lilikuwa linamtatiza la kushindwa kumuacha yeyote kati yao kwani anawapenda wote. Alisistiza kwa kuongea kikristo kwa kusema 'People might think its weird but I love both men and I couldn't choose between them.'Alisema Maria katika mahojiano. Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaume hao wote wawili wamekubaliana uamuzi huo na wanaishi kwa furaha kama familia moja pamoja na watoto wawili na Maria. Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na kuanzisha mahusiano na Peter kabla ajagundua kuwa moyo wake hauwezi kumsahau mumewe na wakati huo huo hawezi kumuacha Peter."When I left Paul there was a huge hall in my life. But the thought of never seeing Peter again was heart breaking. So living with both men is the only way" Maria alifunguka.
Maria akiwa na mume na boyfriend pamoja na watoto wake wawili wa kike kama familia moja. Upande wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza ''Peter is a great guy''. When Maria first had the affair with him I was just heartbroken. But as I got know him, I realised we have so much common. We both adore fishing, and he's like a surrogate dad to the kids".Upande wa Peter naye anasema anaelewana vizuri na mume wa mpenzi wake na wala haone wivu kushare naye mpenzi, kwani siri ya mtungi .........We all get on so well. It doesn't feel as if I'm sharing Maria. There's no jealousy it feels as if we area team."Pamoja na kuwa wana mahusiano ya kimapenzi lakini Maria huwa hajichanganyi nao chumba kimoja, boyfriend wake ulala kwenye kochi na mumu wake ana chumba chake na yeye Maria ulala chumba kimoja na mtoto wake mkubwa wa kike.The three of us never share a bed. Although I a sexual relationship with each man, that side is kept very privete". Alisema Maria. Najua kuwa utajiuliza watatu hawa wanautaratibu up katika swala la kushiriki tendo la ndoa. Maria mmoja kati yao anavyo kuwa ametoka basi alie bakia ndipo upata nafasi ya kujivinjari lakini hawajawahi kuzungumza kwa pamoja swala hilo aliloliita ''binafsi''. The three of usnever share the bed, If Paul is out, Then Peter and I might make love, And vice- versa. But both men turn a blind eyes and we never discuss it with one another. Alisema Maria watatu hao walinza kuishi pamoja toka mwaka jana. Wana pika na kupakuwa maisha yanaendelea wewe je uko tayari kwa hili???.

No comments: