safi sana osca nimelipenda sana vazi lako hivi ndo tunavyotakiwa tuwe vijana baro baro wakitanzania siyo vijana wala ungaa na tusiojua thamani ya nchi yetu,uhuru wetu na mila na tamaduni zetu na wapi tulipotoka kwetu safi sana ubarikiwe baba big up na ahsante sana luke kwa kuweka picha ya jamaa amependeza sana jamaa nakupa kumi mwanangu
1 comment:

Post a Comment