Mamaa Omo, kiuno kinawashinda wadada wa miaka 20 mwenzetu ameolewa na mume muelewa
haa wangekuwa hawa waume zetu wa Bongoland wallahi angetengwa na ndugu mwanamke gani anaachia kiuno wazi bila kujua faranga zinatoka hapo
ukimuangalia utafikiri ni mtoto mbichii kumbe ni mmama mwenye watoto wanne, ukimuona na kumlinganisha na mabinti zetu wa miaka ishirini, utasema wanalingana yote hii ni kwasababu mabinti wasasa wanatumika sana kwa sababu ya kupenda starehe, simu za bei na lace wig za mil, huku matumbo yakitangulia mbele kwasababu ya kupenda offer za beer, ngumu kumeza, michemsho na chips.... ukifikiri unamkomoa mtu kumbe unajikomoa mwenyewe
ninayoyasema mie hayaaa ewe binti tulizana maisha usiyaendee mbio, kama limepangwa liwe litakua tu linaweza kuchelewa lakini litakufikia, mambo ya kuwasumbua ndugu zako kukutafutia diapers na kwenye acc inasoma zero hatutaki.




No comments:
Post a Comment