ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 17, 2013

ZIARA YA MWANA FA VOA

Mwana Fa mara tu alipowasili ofisi za VOA Washington Dc na kupokelewa na mkuu wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza siku ya Ijumaa Novemba 15 kati kati ni Khadija Riyami na watangazaji wa idhaa (hawapo pichani ) kabla ya kuingia kwenye kipindi cha Live Talk kinachorushwa kila Ijumaa na VOA. Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza kushoto na Mwana Fa na mwenyeji wake Dj.Rich Mwandemane. Khadija Riyami kushoto akiwa na Mwana Fa na Dj Rich. Wakiwa na prodyuza wa idhaa ya Kiswahili Duane Collins.Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com

No comments: