Dj Kay leo Jumatano Dec 25, 2013 kurusha Seska Lounge kama kawaida ni usiku uliotulia kwenye kiota chako pendwa cha Seska Lounge "CHRISTMAS INTERNATIONAL NIGHT" pia tutakua na wageni kibao toka New York ambao wapo kAPITALI kusherehekea Birthday karibu na wewe uwe mmoja wao kunogesha usiku huu. From 9.00pm - 3.00 am
ADDRESS 2017 VEIRS MILL RD
ROCKVILLE, MD
MERY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR
No comments:
Post a Comment