Nani kakudanganya Oakland ni jiji la wajanja? Hehe! Usituchekeshe na wewe naye na Hollywood utasemaje? Oakland Ni pakawaida sana tu- hapana ujanja wowote ule. Asanteni.
Uhuru gani huo wa miaka 52. Tanzabia tokea kuasisiwa miaka hiyo haijafika.. Wacheni kusnganya watu.. Nita tanganyika sio tz. Plus tanzania haijawahi hata siku moja kutawaliwa sasa huo uhuru ni wa kitu gani.. Akili ndogo jamani..
watu jirusheni tu maisha ndo haya haya tuko kwa ajili ya burudani na vichwa vya wandawazimu usijali uhuru gani na wa nani jirushe tu marekani hapa bwana ukirudishwa kwenu msobe msobe atleast ume enjoy kidogo kuwa majuu na vipati vya hapa na pale kwani mlivyokuwa home mlikuwa mnayajua haya ya uhuru etc si mlikuwa msobe msobe tuu kutafuta riski kichwani sana mpo hapa to party till dawn alright..
ukiwa mwana siana ndo utatafuta maana ya uhuru huu etc ukiwa kilazi kama mimi poa tu na ku party until dawn alrigh mijameni
aaah jamani eeh it is just a party all you need to do is take a shower, put your nice party clothes on, make ups etc and go party geeez!. oh and don't forget to put on your deodorant and perfume maana watu walalamishi kama nyie unaweza kutokozea na kikwapa cha kufa mtu maana ulivyo na hasira hadi kikwapa kinakuwa kinafoka foka tu.
oh sijui utanganyika, utanzibara who cares, just go party and go home. me, myself, and I will be celebrating independence day of Tanzania.
Nani kakudanganya Oakland ni jiji la wajanja? Hehe! Usituchekeshe na wewe naye na Hollywood utasemaje? Oakland Ni pakawaida sana tu- hapana ujanja wowote ule. Asanteni.
ReplyDeletejiji la mambulula ni lipi?
ReplyDeleteJamani sasa misemo ya kupendezesha tangazo hayo iwe mjadala? Jadili theme ya yaliyotangazwa sio ukosoaji wa upotoshaji
ReplyDeleteUhuru gani huo wa miaka 52. Tanzabia tokea kuasisiwa miaka hiyo haijafika.. Wacheni kusnganya watu.. Nita tanganyika sio tz. Plus tanzania haijawahi hata siku moja kutawaliwa sasa huo uhuru ni wa kitu gani.. Akili ndogo jamani..
ReplyDeletewatu jirusheni tu maisha ndo haya haya tuko kwa ajili ya burudani na vichwa vya wandawazimu usijali uhuru gani na wa nani jirushe tu marekani hapa bwana ukirudishwa kwenu msobe msobe atleast ume enjoy kidogo kuwa majuu na vipati vya hapa na pale kwani mlivyokuwa home mlikuwa mnayajua haya ya uhuru etc si mlikuwa msobe msobe tuu kutafuta riski kichwani sana mpo hapa to party till dawn alright..
ReplyDeleteukiwa mwana siana ndo utatafuta maana ya uhuru huu etc ukiwa kilazi kama mimi poa tu na ku party until dawn alrigh mijameni
aaah jamani eeh it is just a party all you need to do is take a shower, put your nice party clothes on, make ups etc and go party geeez!. oh and don't forget to put on your deodorant and perfume maana watu walalamishi kama nyie unaweza kutokozea na kikwapa cha kufa mtu maana ulivyo na hasira hadi kikwapa kinakuwa kinafoka foka tu.
ReplyDeleteoh sijui utanganyika, utanzibara who cares, just go party and go home. me, myself, and I will be celebrating independence day of Tanzania.
Duh!Who cares,UhuruUhuru...Siasa nyingi..As for me cant wait for the indepence day!!lets partyyyyy.
ReplyDeletehakuna ujanja wowote hollywood, pako kimya kaa nini jina kubwa na watu wenye hella tu. Oakland wajanja wengi wewe tulieni
ReplyDeleteMtajiju mnaojiumiza vichwa bila kujua maana ya neno uhuru. Lianzishwe tena somo la siasa nini??? Wake up people du!!!!
ReplyDelete