LINDA ALIPEWA INTERVIEW NA WAANDISHI MBALI MBALI ...AKIWA BACKSTAGE
LB na SASHA THEDIVA wakiwa backstage
watu wakiwa wanajichanganya kabla ya fashion show kuanza kwenye ukumbi uliopo pembeni mwa WESTIN HOTEL 200 PEACHTREE usiku wa SBC EXTRAVAGANZA Downtown Atlanta
KWA PICHA ZAIDI BOFYA SOMA ZAIDI
Runway iliotumika na madesigner watano wakubwa wa Atlanta designer wa KI-TANZANIA LINDA BEZUIDENHOUT ( LB) akiwa mmoja wao
Sasha The Diva Mtangazaji maharufu wa Georgia wa radio station ya KISS 104
3 comments:
Big up, hivi wale waandaaji wa MIss Tanzania USA mngekua mnaenda kwenye ukumbi kama huu ona hiyo Cat walk, muwe mnaweka mandhari kulingana na tukio. Kiroho safi katika kuelimishana
Mdau usipayuke tu kuhusu ukumbi, resources ziko limited, so ONE DAY YES! Na support zenu zinahusika vilevile ili kufanikisha
Wewe anonymous! Issue si ukumbi issue ni kuwa cheap! Kulipa $30 TICKET WAS AN ISSUE! Kama unataka kwenda sehemu kama hii lazima ulipe BIG MONI!!!!!!!! TUBADILIKE KWANZA KUSUPPORT EACH OTHER THAN MAJUNGU NA MANENO YA UZUSHI THEN THIS CAN BE POSSIBLE. $60 ya uhuru ilizua zai nusura watu watoane roho.
Post a Comment