ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 25, 2013

MFADHILI WA TIMU YA NEW YORK NA KOCHA MCHEZAJI WA TIMU YA DMV WAKUTANA

Kushoto ni Kocha mchezaji wa Timu ya DMV Evans katika picha ya pamoja na mmoja ya wafadhili wa timu ya New York Akida walipokutana kwenye mgahawa wa kijiji cha Swahili uliopo Beltsville, Maryland Jumanne Dec 24, 2013 kupanga mipango mpambano wa timu hizi mbili unaotarajiwa kufanyika mapema mwakani. Akida yupo Maryland kwa mapumziko ya Christmas.


No comments: