Papa Frncis akibariki kwenye misa yake ya kwanza Christmas iliyofanyika Jumanne Dec 24, 2013 kwenye mkesha wa Christmas uliofanyika katika kanisa la Mt. Peter Vatican nchini Italia.
Papa Francis akiwa amebeba sananu ya mfano waYesu mtoto kwenye misa yake ya kwanza ya Christmas iliyofanyika Jumanne Dec 24, 2013 katika kanisa la Mt. Peter Vatican nchini Italia.
Papa Francis akiwa katikati ya misa yake ya kwanza ya Christmas siku ya Jumanne Dec 24, 2013 katika kanisa la Mt. Peter Vatican nchini Italia.
Papa Francis pamoja na wasaidizi wake (watumikiaji) wakitoka wakitembea kutoka nje baada ya kumaliza kuongoza misa ya mkesha wa Christmas iliyofanyika Jumanne Dec 24, 2013 katika kanisa la Mt. Peter Vatican nchini Italia. (PICHA NA ZIMBIO)
1 comment:
naomba kuliza ule mkata alioshika pope unatengenezwa wapi na eti nimesikia huwa haozi is it true tujibiyane jamani na kuelimishana okay merry christmas and happy new year kwa wana blog wote duniani wanaooingia katika blog hii nzuri merry christma dj luke big up man
Post a Comment