ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 26, 2013

NEEMA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA SESKA LOUNGE, ROCKVILLE, MARYLAND


 Kutoka kushoto ni Neema, Lilian, Flora na Adela katika picha ya pamoja kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Seska Lounge Kiota pendwa cha maraha DMV siku ya Jumatano Dec 25, 2013 siku Christmas ambayo Neema alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa. Neema na wenzake wametokea New York na wapo Maryland kusherehekea Christmas siku ambayo Wakristu Kote Duniani husherehekea kwa kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu.
 Dj Kay (kushoto) akienda sambamba na Dj Mwenzake Viq Jah Gem.
 Dj Kay akiwarusha wadau waliokuwepo Seska Lounge, Leo Alhamisi mangoma yanaendelea kama kawaida na desturi bila kusahau, Ijumaa ikiwemo Jumamosi na hata Jumapili yote ni kukupatia pakeji ya Christmas iliyokamilika
Baadhi ya wadau waliokuwepo Seskalounge katika picha ya pamoja.

No comments: