
Jackie akiwa kwenye picha na rafiki yake Cheif Rocka aliye thibithisha habari za kukamtwa kwake huko China.
Sikiliza mahojiano yaliyofanya na Bongo5 walipoongea na Cheif Rocka
Mrembo Jack Patrick akipelekwa katika chumba maalum kwa ajili ya mkutano na wanahabari Jumanne Desemba 19, 2013 huko Macao China.

3 comments:
tamaa mbaya jamani na kujidai ku ji act kama mmarekani mweusi kwa kila leo huko nyumbani mabinti mtakufa vifo vibaya shauri zenu kama hamna akili za kusoma au uwezo wa kusoma basi hata jifunzeni ujuzi wowote jamani kama kuna mtu shosti anajua kushona basi mwambiye akufundishe kama hataki mwambiye basi nitakuwa nafanya kazi kwako kwenye store yako au saloon yako bila malipo ili upate ujuzi jamani
tamaa mbaya msiwaige wenzenu shauri yenu hamjui wanapopatia hizo pesa na ufahari walio nao poleni sana jamani
Wanawake wa bongo haibu tamahaa zimewazidi
Wanatuchekaga sie tunaobeba mabox, kuchambisha wazee nursing homes huku kwa Obama angalia sasa yanayowakuta, jamani wanawake wenzangu tujifunze kuridhika na maisha tunayoishi, tamaa mbaya, fanyeni kazi za halali hata kama ni kuuza nyanya, chakula nk, hii iwe fundisho kwa wengine wanaofanya au kufikiria kufanya hii biashara ya sembe
Post a Comment