Monday, December 2, 2013

SASA WAMAREKANI KUANZA KUDELIVER KWA KUTUMIA DRONE

Kampuni za Marekani zinazosambaza vifurushi vya wateja wao zipo kwenye majaribio ya kutumia mashine ndogo yenye mfano kama helkopta ndogo vijulikanavyo kama DRONE ambayo itatumiwa kusambaza vifurushi vya wateja wao, Drone imwekwa GPS ambayo huwekwa anuani ya mteja kifurushi kinapotakiwa kwenda, hebu jionee mwenyewe Video hapo chini

Amazon Testing Drone Delivery System

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake