ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 24, 2013

SKENDO MPYA YA GOVERNOR WA ZAMANI WA NEW YORK CITY - IMEGUNDULIKA KWAMBA ANATEMBEA NA SECRETARY ALIEPISHANA NAE MIAKA 23

Silda Spitzer, ambaye bado ni mke wa Eliot alisimama sambamba na mumewe alipokubali mashtaka ya kununua makahaba wa bei ghali na kujiuzulu mwaka 2008
Eliot Spitzer (kushoto) ameonekana nyumbani kwa Liz Smith usiku wa manane na baadae kuondoka alfajiri wiki iliyopita. Liz alikuwa muongeaji mkuu wa Spitzer wakati wa kampeni ya kuwa comptroller wa jiji la New York
Ms Smith amefikiriwa kuongoza kwenye nafasi ya press secretary pindi Bill De Blasio atakapokuwa meya wa New York
Ms Smith is thought to be a frontrunner for the job of press secretary once Bill De Blasio takes over as New York Mayor





Smith (kushoto) alifanya kazi kwenye kampeni ya Spitzer na baadaye kuhamia kwa Bill De Blasio baada ya Spitzer kushindwa. Silda Spitzer (kulia) hakuonekana kwenye kampeni za mumewe.

Smith, left, worked on Spitzer's campaign and then jumped over to work for Bill De Blasio after Spitzer lost in the primary. Silda Spitzer, right, was not seen on the campaign trail for her husband 
Liz Smith, kama alivyoonekana Jumapili kwenye timu ya Bill De Blasio, amekuwa na vikao vya usiku usiku na Eliot Spitzer
Spitzer na mwanamke anayesemekana kuwa na mahusiano naye, Lis Smith, wameonekana wakiingia kwenye mgahawa wa Kifaransa, Le Pescadeux wiki iliyopita kwa aajili ya chakula cha usiku na baadae kuelekea nyumbani kwa Lis.

5 comments:

Anonymous said...

Walikuwa wanajadili shughuli za ki-ofisi. Usiku inakuwa ni vizuri kujadili mambo muhimu kwa sababu kunakuwa kumetulia.

Anonymous said...

I love that comment.peace at night is very important.

Anonymous said...

Hahahahahahaha comment ya kwanza imenivunja mbaavu!! Mweeeeee!

Anonymous said...

nimezipenda comment za watu wawili hapo juu poa sana na jambo linginewe ni kwamba bora kungekuwa na sheria ya kuoa wake wengi kama dini ya wenzetu ili kuepuka na kashfa kama hizi huoni wenzetu wanao wanne wala hawana shida siyo eti sisi leo kuwa na mmoja na halafu nyumba ndogo kibaoo

Anonymous said...

uislamu ndo dini bora njoeni kwenye uislamu muokoke na kashfa kama hizi unakuwa na zako mbili tatu umepoa kiakili mmoja ikikurusha roho unakwenda kwa wapili halali yako