ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 25, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM DMV KUJIUZULU KWA KATINU MKUU, JACOB KINYEMI

7 comments:

Anonymous said...

Acheni longolongo. Pigeni boksi.

Anonymous said...

Jamani tuacheni tusherehekee Chrismas sisi na familia zetu. Badala ya kuwatakia watu heri ya Chrismas na mwaka mpya, mnaleta siasa. Give us bear please.

Anonymous said...

hivi inakuwaje mnaleta siasa usa kwani wamerican wanaleta vyama tanzania?achani longolongo

Anonymous said...

Mchezo wa kuigiza kukosa shughuli za kufanya tabu.

Anonymous said...

Duu! Poleni sana! Mungu awaongoze ili mchague mtu anayefaaa!

Anonymous said...

Fanyeni kazi, acheni uvivu...

Anonymous said...

Unavuna ulichopanda Kinyemi, ulikuwa unaheshimika sana Bi dada drop all your credit wealth now DMV .