ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 25, 2013

VIJIMAMBO INAWATAKIA WOTE KHERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS

8 comments:

Anonymous said...

Asante na wewe pia. Tunashukuru kwa kutuletea habari na matukio.

Anonymous said...

Asante sana, Luke. Sikukuu njema pia.

Anonymous said...

Mary X mass to you too, asante for good work you do kwa jamii,may God bless you. .

Mtanzania , Washington, D.C said...

Have a very Merry Christmas and Happy New Year ndugu Luke! Asante kwa kazi njema ya kutujumuisha wabongo hapa Marekani kupitia mtandao huu wa vijimambo. Keep up the good work and for many years to come. PEACE!!!

Anonymous said...

Merry Christmas to all may the good Lord continue to bless each and everyone in the coming year.peace and love to all

Unknown said...

Respect Luke Joe, keep up the good work. Mkuu wa Wilaya.

Unknown said...

pamoja sana

Anonymous said...

Ahsante na wewe pia, mtani Mungu akubari na kukutangulia katika yote.