Friday, January 3, 2014

HATUWEZI KUSAHAU MWAKA 2013 KUTOKANA NA TUKIO HILI NA HASA KWA KUTOOMBA MSAMAHA WATANZANIA

7 comments:

  1. Huyu PhD, holder hana matatatizo. Tatizo ni shule alizosomea na yule aliyempatia hayo madaraka.

    ReplyDelete
  2. Kutokana na viwango vyetu vya elimu, sioni kama huyu ana tatizo. Tena anaweza kupewa nafasi zilizochwa wazi na mawaziri waliopungua.

    ReplyDelete
  3. Mungu wangu eeh, ndiyo maana elimu imeshuka Tanzania.

    ReplyDelete
  4. Wow! Kazi kweli kweli. Huyo ni waziri so sad

    ReplyDelete
  5. I can't believe this....Whaaat....yaani huyu bado ana cheo serikalini...only Tanzania.

    ReplyDelete
  6. one word 'MAJANGA"

    ReplyDelete
  7. Hili janga la Taifa! Hebu tizama tena na uwatizame wenzake waliokaa kwenye jukwaa wanavyotaka kukimbia jukwaa kwa kuhusishwa na jamaa huyo jukwaani!!! Ah ya ya!!!!! Mama yangu!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake