ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 22, 2014

MAZOEZI YANAWEZA KUBADILISHA MUONEKANO WA MWILI WAKO NA PIA NI AFYA

Jen Selter mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa New York City akionyesha mwili wake katika pozi ya kimazoezi.
Siri ya kujengeka mwili wake ni mazoezi na hizo ni moja za pozi zake akiwa kwenye mazoezi. Jitiririshe kwa taswira ya picha za Jen labda na wewe utaanza mazoezi kuilinda afya yako na kuboresha nyumba yako kwa mdhamini wa pendo lako.
Huyo ndiyo Jen katika mazoezi yake yeye analenga zaidi maumbile ya nyuma yaweze kuonekana bora na kuvutia bila kutumia mambo ya kitabibu bali ni mazoezi tu. 
Uwezi kuona Dr zaidi ya kilago chake cha mazoezi na vyuma vya Gym.

No comments: