nzuri sana tena inapendeza ndo maisha ya kupendana yanatakiwa yawa hivi nimeipenda sana hii picha ahsante dj luke kwa kutuwekea
Mimi aliyenifurahisha ni yule mshikaji aliyeegemea ukuta. Sijui anawaza nini.
Picha hii ni mbaya sana kwani inadhalilisha wanaume hivyo haifai.
Hiyo ni kama nyuma gest house vile na jamaa kanaswa hina bidi ufanye hivyo ili yaishe kibongobongo wote tumepitia hizo kesho kamakawa
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake
nzuri sana tena inapendeza ndo maisha ya kupendana yanatakiwa yawa hivi nimeipenda sana hii picha ahsante dj luke kwa kutuwekea
ReplyDeleteMimi aliyenifurahisha ni yule mshikaji aliyeegemea ukuta. Sijui anawaza nini.
ReplyDeletePicha hii ni mbaya sana kwani inadhalilisha wanaume hivyo haifai.
ReplyDeleteHiyo ni kama nyuma gest house vile na jamaa kanaswa hina bidi ufanye hivyo ili yaishe kibongobongo wote tumepitia hizo kesho kamakawa
ReplyDelete