Monday, January 20, 2014

Video ya Ajali ya gari Singida.iliyouwa watu 13 papo hapo


Watu kumi na tatu wakiwemo watatu wa familia moja wamekufa papo hapo baada ya gari aina ya noah waliokuwa wakisafiria kugongwa na lori katika kijiji cha Isuna wilaya ya ikungi mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake