ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 10, 2014

IRINGA NAKO MADUKA YAFUNGWA KUKWEPE KUTUMIA MASHINE ZA TRA

 Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa congo dar) sana mkoani Iringa,panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu kutokana na mgomo wa kutumia mashine za kutolea risiti za TRA.
(picha zote na Denis Mlowe )
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

2 comments:

Anonymous said...

Nihali ya kusikitisha na kushaanga kwa namna watanzania kutotambua umuhimu wa kulipa kodi.hivi ni wapi duniani katika karne hii kama sii Tanzania utafanya biashara bila kulipa kodi?
Ni watanzania hawahawa kila kukicha wanalalamikia huduma duni kwenye mahospitali, mashuleni na uwepo wa miundo mbinu mibovu..Hivi ninani akulipie kodi ili upate huduma bora?
Au fedha za wafadhili ndizo zinatufanya tulale usingizi wa pono bila kujua ni hela za walipa kodi wa nchi zao.Wake up people!!!

Anonymous said...

Mdau nama moja asante sana. Kusema ukweli waTanzania na hasa wafanybiashara wamezoea na pia kutoelewa umuhimu wa kutumia technolojjia. Sasa wanataka waendelee kufanya biashara bubu hadi lini. Natumaini serikali nayo inatakiw aiwe makini na kulitilia mkazi na pia kuliweka kwenye katiba ya nchi inayoandaliwa kama hutaki kutumia mashine basi leseni hakuna! wazi. Tuacheni kukwepa kodi mahoteli mengi sana hawana hata computer wanatoza kwa kuandika kwa kalamu na kuchukua fedha cash hata mweye hoteli hajielewi kuwa anaibiwa!!