Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara kariakoo yaliyofungwa
Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.
Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung’ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.
Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.
picha na Dj sek Blog
5 comments:
hawa wafanya biashara wamechanganikiwa how could you ever run a business without paying taxes they need to meet uncle sam.
Kama hujui siuulizeee? It's not about paying taxes rather about corrupted program that TRA came-up with in the name of "new technology" mashine hizo ndio utata uliopo!
Wafanya biashara amkeni huu ni wkati wa kutumia technolojia mnadhani mtafanya biashara za aina gani ifikapo 2020 kama hamuamki!!
Mchangiaji Anonymous Feb.10,2014 @6:36pm hapo juu nadhani wewe ni baadhi ya watu ambao either kwa makusudi au kwa uelewa mdogo mnaipotosha jamii.
Unaposema mashine hizi ni corrupt program ya TRA una facts zozote au ndio maongezi ya kijiweni?
Kwa kifupi nikwamba nchi yetu ya Tanzania haina utamaduni wa kilipa kodi,ukiachia wafanyakazi wanaokatwa kodi zao kwenye mishahara wengine wote,sio wafanyabiashara wakubwa au wadogo wanao lipa kodi kihalali.
Ujjio wa wa hizi mashine za Electronic Fiscal Device(EFD)ambazo zimeonyesha mafanikio/matokeo mazuri sehemu nyingi duniani ni namna pekee serikali itaweza kuwathibiti wafanyabiashara wadanganyifu.Ukichulia mfano mdogo wa kodi ya VAT ambayo kimsingi ni kodi ambayo inalipwa na mlaji na mfanyabiashara ni kama agent ambae anapaswa kuiwakilisha serikalini but the truth of the matter is wafanyabiashara wengi walikuwa wakula hii kodi na kuifanya kama ni sehemu ya faida yao.
The time has come now nchi ithibiti hii hali na watu waanze kulipa kodi halali.
nikweli kabisa ni nani atatoa 800,000tsh ya kununua hizo mashine kwa kipato kipi. kodi zinalipwa ila wanao nufaika ni wachache angalia hilo.
Post a Comment