ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 26, 2014

GLOBAL WOMAN OF THE YEAR 2013

2 comments:

Anonymous said...

Mgeni Rasmi MIZENGO PINDA Waziri Mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Waandaaji kweli mmeshindwa kumtafuta mwanamke atakayewafungulia hii shughuli? Wako wanawake wengi tu na kama hamkumwona basi mngeliomba toka nje! Hii ni ukosefu wa maadili!!!.

Anonymous said...

Kina mama asanteni. Mimi kama mwanamke kweli naungana na mdau hapa juu anavyosema. Sidhani jama haki imetendeka kwa kutoona kwamba mwanamke anaweza kutuendeshea shughuli zetu bado tunataka kutawaliwa kwa kutojiamini?? Mbona tunaweza kuiendesha hii shughuli wenyewe wako kina mama wengi na hata wastaafu jameni. First ladies retired mbona wapo.