Meneja
wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunya viroba
na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima
kama hivi ,hapa nalazimika kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde!
ulevi Nomaaaaaaaaaa!?
Mlinzi
wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya
polisi kufika na kuamua
kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa
kutibu
Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
Hapa idadi ya walinzi ikiendelea kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa usiku huu
Ukisema
ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa
tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni
eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa
amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi
2 comments:
I wonder kama ata keep kazi yake..
huyu c wakumuonea huruma ameyataka mwenyewe hiyo ndio starehe ya pombe lol!!!!
Post a Comment