Bwana William Malecela John alikuwa anaishi New York na aliishi hapa miaka mingi lakini na hakuwa mwanachama wa NEW YORK TANZANIA COMMUNITY ya New York na wala hakuchangia chochote. Hayo aliyasema hayanaa uthabitisho na inaonyehsa kuwa amekosa heshima kwa viongozi wa mataifa, viongozi wa serikali -east African Community na Diaspora Community kwa kuharibu heshima yao na sifa zao- wakati tunapopignia haki ya Uraia pacha katika Katiba Mpya. Tunaomba vyombo vyote vya kuchunguza watu viangalie kwa makini sifa za watu wanaosema uongo au udanganyifu au kusemma mamaneo amabyo haya ushaidi wachukuliwe hatua kali ambayo inayofuatana na sheria zilizo pitishwa serikalini.
For more info: Temba NEW YORK TANZANIA COMMUNIT Deputy Treasure
1 comment:
Bwana William Malecela John alikuwa anaishi New York na aliishi hapa miaka mingi lakini na hakuwa mwanachama wa NEW YORK TANZANIA COMMUNITY ya New York na wala hakuchangia chochote. Hayo aliyasema hayanaa uthabitisho na inaonyehsa kuwa amekosa heshima kwa viongozi wa mataifa, viongozi wa serikali -east African Community na Diaspora Community kwa kuharibu heshima yao na sifa zao- wakati tunapopignia haki ya Uraia pacha katika Katiba Mpya. Tunaomba vyombo vyote vya kuchunguza watu viangalie kwa makini sifa za watu wanaosema uongo au udanganyifu au kusemma mamaneo amabyo haya ushaidi wachukuliwe hatua kali ambayo inayofuatana na sheria zilizo pitishwa serikalini.
For more info:
Temba
NEW YORK TANZANIA COMMUNIT
Deputy Treasure
Post a Comment