ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 12, 2014

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TANZANIA INVESTMENT CENTER (TIC)

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula wakiwa katika picha ya pamoja n Mkurugenzi Mkuu wa TIC Bi.Juliet Kariuki siku ya Ijumaa April 11, 2014 Mkurugenzi Mkuu huyo alipomtembelea Balozi Mulamula Ofisini kwake kwenye jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani lililopo Washington, DC.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Investment Center Bi Juliet Kariuki wakisalimiana na Rweyemamu, Michuzi, Adam Gille, Fredy Wanjala na Nicodemus Ikonko walipofika Ubalozini hapo kumsabahi Mhe. Balozi Mulamula.

1 comment:

Anonymous said...

Hao wanaovaa miwani kichwani wametoka wapi?