Friday, April 18, 2014

BREAKING NEWS: MELI YAZAMA ZIWA VICTORIA HIVI PUNDE

picha haihusiani na tukio
Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.
Taarifa kamili itakujia baadaye

1 comment:

  1. Ondoa hiyo picha ya Korea, tafadhali sana!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake