Monday, April 21, 2014

DARAJA JINGINE JIJINI DAR LAKATIKA JIONI HIII

Ni daraja la Mzinga huko Mbagala Kongowe,.
Hili ni daraja la pili ukitoa lile la bunju nalo lililovunjika leo, pia daraja la Jangwani pia lipo hatarini kuvunjika kutokana hizi mvua zinavyozidi kunyesha,.
Serikali inabidi kufanya la ziada juu ya ujenzi wa miundo hii muhimu- Habari na picha kwa hisani ya Clouds fm

1 comment:

  1. Kwanza kabisa hawa wabunge wanatakiwa wasitishe kazi ya bunge kutafakari na kuenda kuona maeneo yaliyoathiriwa na hizi mvua na kutoa msaada wa hali na mali kusimmia ujenzi hata wa dharura!! wanakula mshiko tu hapo Dod. mhhh.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake