Deo Mwalujuwa (pichani) ni Mtanzania aishie na kuendesha maisha yake Columbus, Ohio na ailiyekuja nchini Marekani kutafuta maisha kama wageni wengine wafanyavyo Marekani.
Deo Mwalujuwa ndiye aliyekua amkimuendesha Mhe. Balozi Liberata Mulamula na mumewe Bwn. Geoarge Mulamula walipokuwa Columbus, Ohio mwishoni mwa wiki ya April 18-20, 2014 kwa ajili ya kjumuika na wana Ohio kwenye fundraising dinner iliyofanyikia Comfort Inn iliyopo kwenye mtaa wa Dublin Granville.
Kwa mahitaji ya magari aina yote kama vile sherehe za harusi, misiba, kwenda na kurudi uwanja wa ndege na safari mbalimbali za hapa na pale bei zake ni nafuu tafadhali usisite kumpigia simu namba yake ni 614 378 8655
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake