Tuesday, April 22, 2014

GIGGS ACHUKUA MIKOBA YA MOYES


Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs (pichani) ndie kocha wa Man U kwa sasa tangia kuenguliwa kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo David Moyes hapo jana.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake