Tuesday, April 22, 2014

LIVE: IBADA YA KUMUAGA MWANAFUNZI WA EDUCATION CHUO KIKUU DAR ES SALAAM ALIYEFARIKI KWA AJALI YA GARI UBUNGO NEEMA MWAKAJWANGA

 Baadhi ya Ndugu, Jamaa Marafiki pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakiwa katika Ibada ya Kumuaga Marehemu Neema Mwakajwaga aliyepata ajali ya Gari juzi eneo la ubungo

Muongoza Ibada akiendelea kuongoza  Ibada hiyo ya Kumuaga Marehemu Neema Mwakajwanga aliyekuwa Mwanafunzi wa Education Chuo kikuu cha Dar es salaam, Aliyefariki Juzi kwa Ajali ya Gari.

Endelea Kufuatilia Hapa

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake