Lulu ushauri wa bure jaribu kupotea mpaka matatizo yako yaishe..... huo umaarufu hauna maana sababu ukikutwa una hatia za kuua ni umekwisha. Shikilia shule jiendeleze utatanuka mawazo ila hii kila kukicha unasikika hayakufai, mwachie haya shangungu wema sepetu
badala ya kujiendeleza na elimu mnajiendeleza na mambo ya kijinga jinga ndo maana siku zote wanawake weusi mnatawaliwa na kuwa chini duni kabisa eti nick minaj sijui nani na nani ndo itakusaidia nini wewe kuwafuata hao mamodel wala ungaaa
Lulu ushauri wa bure jaribu kupotea mpaka matatizo yako yaishe..... huo umaarufu hauna maana sababu ukikutwa una hatia za kuua ni umekwisha. Shikilia shule jiendeleze utatanuka mawazo ila hii kila kukicha unasikika hayakufai, mwachie haya shangungu wema sepetu
ReplyDeletebadala ya kujiendeleza na elimu mnajiendeleza na mambo ya kijinga jinga ndo maana siku zote wanawake weusi mnatawaliwa na kuwa chini duni kabisa
ReplyDeleteeti nick minaj sijui nani na nani ndo itakusaidia nini wewe kuwafuata hao mamodel wala ungaaa