ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 12, 2014

MAMBO SHWAAAARI -UFUNGUZI WA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC APRIL 11- AHSANTENI SANA DMV !

MUONEKANO MPYA WA CLASSY SAFARI RESTAURANT
SAFARI MPYA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA
ELEVATED TO THE STANDARD


MDAU AKISOMA MENYU-CHAGUA KUKAA NDANI AU NJE NI WEWE TU 
SIKU YA UFUNGUZI ILIENDA VIZURI
WAMAREKANI NA WAAFRIKA WAJUMUIKA PAMOJA 
HALI YA HEWA IKIWA SHWARI WATU HUPENDA KUKAA NJE
WAKENYA NA WATANZANIA NDANI YA NYUMBA
KINADADA WA DC WAKIPATA MENYU KWA NJE
MAKAMANDA WA DC WALIWAKILISHA VYEMA UFUNGUZI
Management Mpya ya Safari Unapenda kutoa Shukrani kwa wale wote walioweza Kupata nafasi ya kufika katika siku hii ya ufunguzi wa New Safari Restaurant DC,"Words can not Explain"
Bila kuwasahau wale ambao walishindwa kufika kwenye siku hii ya ufunguzi tunapenda kuwakaribisha pindi mpatapo nafasi kwani sasa tunafungua kila siku kasoro jumatatu tu.
LADIES AND GENTLEMEN SAFARI IS NOW OPEN FOR BUSINESS.

1 comment:

Anonymous said...

Chakula kizuri sana ..hongera kwa kazi nzuri ila jaribuni punguza spices kwenye sambusa. Uhitaji viungo vya pilau kwenye nyama ya sambusa make it simple onions and garlic is all you need. Asanteni sana