Advertisements

Friday, April 11, 2014

(News) Mh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu


2
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa marehemu Edward Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye ni afisa katika balozi wa Taznania nchini Kanada, kuhusiana na
maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo Cha aliyekuwa waziri mkuu an mbunge wa Monduli Marehemu Edward moringe Sokoine, kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja na marais na mawaziri wakuu wastaafu.
3 download

1 comment:

Anonymous said...

Asante wadau na mheshimiwa Lowasa kwa kutoa huduma kila kona.
Kwa kweli itashangaza sana kwa waTanzania jinsi tunavyonunuliwa na huduma za mhe. Lowasa kwani hata dhifa nyngine kama ilokuwepo Mjini Mwanza ilitekelezqa bila yeye kujitokeza na mgawao w hakika.
Sasa kweli ifikiapo kipindi cha uchaguzi bado inaelekea WaTZ watajisahau sana tuwekeni mgombea mwenye kuijali Tanzania. Lowasa tumwombe apumzike kwanza kwa ujumla amefanya mengi atulie.

Asanteni tuweni MACHO WANDUGU.