Wadau wa DMV wakila hepi kwenye sikukuu ya Pasaka Jumapili April 20, 2014 kwenye mgahawa mpya wa Afrika Mashariki na kati.
1 comment:
Anonymous
said...
Mkiitwa kwenye shughuli muhimu za wana DMV hamji mnatuonyesha ubingwa wa kunywa haya tumewaona huko Afrika ya Mashariki!! Tuungane pamoja kukuza na kudumisha mila na desturi hizi. Saaaafi sana. je Kilimanjar na safari bila kusahau Serengeti.
1 comment:
Mkiitwa kwenye shughuli muhimu za wana DMV hamji mnatuonyesha ubingwa wa kunywa haya tumewaona huko Afrika ya Mashariki!!
Tuungane pamoja kukuza na kudumisha mila na desturi hizi. Saaaafi sana. je Kilimanjar na safari bila kusahau Serengeti.
Post a Comment