Monday, April 21, 2014

PASAKA INOGILE SAFARI DC

Wadau wa DMV wakila hepi kwenye sikukuu ya Pasaka Jumapili April 20, 2014 kwenye mgahawa mpya wa Afrika Mashariki na kati.

1 comment:

  1. Mkiitwa kwenye shughuli muhimu za wana DMV hamji mnatuonyesha ubingwa wa kunywa haya tumewaona huko Afrika ya Mashariki!!
    Tuungane pamoja kukuza na kudumisha mila na desturi hizi. Saaaafi sana. je Kilimanjar na safari bila kusahau Serengeti.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake