Monday, April 21, 2014

DEEJAY ALEX DA WOLF WA 99.4 METRO FM MWANZA AFARIKI KWA AJALI YA GARI

Daima Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon Amin.. Pole kwa familia ya Alex Da Wolf na wale wote walio poteza ndugu zao kwenye ajali ya gari mda mchache ulopita maeneo ya masanza kona Magu Mwanza. Poleni sana hakika kazi yake mungu haina makosa.
Daima tutakubumbuka kwa mema uliyoyafanya tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi. Kazi ya mikono yako itakumbukwa daima

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake