Licha ya mzazi wake kuwa mkulima na masikini lakini mzee huyu aliakikisha anatumia hadi ukucha wake wa mwisho ili mtoto anasoma chuo na kumaliza. Hii picha ni siku ya graduation ya mtoto wake wakipata ukodak. Umasikini usiwe kisingizio cha kutokutimiza ndoto za watoto wetu.Kijana huyu siku zote atajisikia pride kwa mzazi wake. |
No comments:
Post a Comment