Advertisements

Monday, April 21, 2014

PICHA YA LEO

Mwanaidi Jumanne akiwa kwenye Swagga la ukweli la pasaka katika Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi.

No comments: