ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 29, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI, VIONGOZI WA BARAZA LA UUGUZU NA UKUNGA, AZINDUA MKOBA PRIVATE EQUITY FUND LEO

  Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia akizindua rasmi  rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam leo April 29, 2014

  Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama alama ya kuzindua  rasmi  rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam leo April 29, 2014

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara, ujumbe  maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, aliyeuwasilisha  ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika  kuuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaa leo April 29, 2014
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao  Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.
Picha na IKULU

No comments: