

Princess Fortney katika picha kwenye sherehe yake ya miaka 3 ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi April 19, 2014 Laurel, Maryland katika hotel ya Sleep Inn.

Wazazi wa Princess Fortney katika picha ya pamoja na Princes Fortney kwenye siku yake ya kuzaliwa ya miaka 3 iliyofanyika siku ya Jumamosi APRIL 19, 2014.

Princess Fortney akiwa amebebwa kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Jumamosi April 19, 2014 Laurel, Maryland katika hotel ya Sleep Inn.


Dada Tuma akiongoza watoto waliofika kwenye siku ya kuzaliwa ya Princess Fortney iliyofanyika Laurel, Maryland katika hotel ya Sleep Inn Jumamosi April 19, 2014.

Baadhi ya watoto waliohudhuria sherehe hiyo ya kuzaliwa kwa Princess Fortney.

Watoto mbalimbali waliohudhuria siku ya kuzaliwa ya Princess Fortney.

Mtoto Makeila akiingia na zawadi ya siku ya kuzaliwa ya mtoto mwenzake Princess Fortney.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi. Picha na Aloyce Mbullu Mwakilishi wa Vijimambo Maryland.

















No comments:
Post a Comment